Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Barua kwa kwa watumishi wa umma
KIJANA FIKIRIA MARA MBILI KISHA WEKA TIKI KWA MGOMBEA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Bi. Samia Suluhu Ahaidi Umeme Kila Kijiji Ruvuma, Viwanda vya Mahindi, Kahawa
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa wa Ruvuma yaani Jimbo la Nyasa na Mbiga Vijijini, akizungumza katika mikutano yake amesema serikali itakayoundwa na CCM endapo itashinda itahakikisha inashusha umeme katika vijiji vyote vya mkoa huo kwa awamu ili kuchochea maendeleo ya wananchi.
Alisema kwa kuwa mkoa huo unazalisha mazao ya mahindi na kahawa serikali itahakikisha inaanzisha viwanda eneo hilo vya kusaga na kuandaa unga wa mahindi kwa wakulima na kuwawezesha ili wauze unga na kunufaika zaidi tofauti na ilivyo kwa sasa ambapo wamekuwa wakilanguliwa.
Alisema viwanda vingine ambavyo Serikali ya CCM itavianzisha ni pamoja na viwanda vya kubangua kahawa na kuiandaa kikamilifu tayari kwa kutumika, jambo ambalo alisema licha ya kuongeza thamani ya zao hilo itaongeza ajira kwa vijana na kuchochea uchumi wa wakulima eneo hilo.
Akizungumzia miundombinu ya barabara ambayo bado ni changamoto kwa mkoa huo hasa vijijini alisema serikali itakayoundwa na CCM chini ya uongozi wa Dk. John Pombe Magufuli pamoja na yeye watahakikisha wanajenga na kuboresha barabara za maeneo hayo ili ziweze kupitika kwa uhakika.
Hata hivyo kiongozi huyo amesema Serikali itakayoundwa na CCM endapo itashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015 imejipanga kuboresha vizuri huduma za afya kuondoa ukiritimba na rushwa, elimu kwa kutoa elimu bure toka darasa la kwanza hadi kidato cha nne pamoja na ujenzi wa mabweni na uwezeshaji vijana na akinamama kiuchumi popote walipo mjini na vijijini.
Ziara ya mikutano ya kampeni ya mgombea mwenza huyo wa urais tiketi ya CCM, inaendelea leo katika Mkoa wa Ruvuma na ataingia Jimbo la Tunduru kuendelea kuinadi ilaya ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ili waweze kurejeshwa madarakani na kuunda dola.
![]() |
![]() |
![]() |
| Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kijiji cha Maguu wilayani Mbinga wakimsubiri mgombea mwenza wa urais, CCM, Bi. Samia Suluhu. |
![]() |
![]() |
![]() |
| Mmoja wa wajumbe wa kamati ya kampeni ya mgombea mwenza, Bi. Asumpta Mshama akizungumza na wanaCCM na wananchi (hawapo pichani) katika Kijiji cha Maguu, Wilaya ya Mbinga. |
![]() |
| Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM ambao ni wenyeji wake mkoa wa Ruvuma. |
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa, akiwapungia maelfu ya wananchi akiwa kwenye gari, wakati
akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini,
Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015 ambapo alihutubia mkutano wa kampeni
ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni akiwa kwenye mkoa watatu
baada ya kuzindua rasmi kampeni zake jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa
ameendelea kuonyesha "nguvu" zake kisiasa kutokana na maelfu ya wananchi
wanaojitokeza kwenye mikutano yake. (Picha zote na Othman Michuzi)
\
DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali za maendeleo endaqpo akichaguliwa
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo wilayani Namtumbo, Ruvuma. Dk Magufuli alitangaza kwamba akichaguliwa atahakikisha vifaa vya ujenzi bei yake inashuka kupunguza kodik.
Dk Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi kabla ya kumkabidhi Mgombea ubunge jimbo la Namtumbo. Injinia Edwin Ngonyani
Mama mkazi wa Kijiji cha Chomolo, wilayani Namtumbo, mkoani, akishangilia baada ya Dk Magufuli kutangaza kwamba akishinda urais kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne hawatolipa ada
Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Kilimasela wilayani Namtumbo, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Nandembo wilayani Tunduru, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara
Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Matemanga wilayani Tunduru.
Akina mama wakiwa karibu na mti wenye picha ya Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli
WAFUASI WA ccm wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi
Ni furaha iliyoje kwa Bibi kizee huyu baada ya kumuona Dk Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara mjini Tunduru leo
Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Tunduru
Mrembo akiwa amejiremba ki ccm katika mkutano huo wa kampeni mjini Tunduru
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya ukuta ili wapate kumuona Dk Magufuli akihutubia mjini Tunduru
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ramo Makani
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli
Dk Magufuli akiwapongeza wafuasi wa CUF waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA MJINI TUNDURU
Mambo ya warembo wa ccm
Msafara wa Dk Magufuli ukiwasili katika Kijiji cha Ligunga, wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara
Mwanafunzi akiwa akiparamia mti ili aweze kumuona Dk Magufuli
Dk Magufuli akihutubia wananchi waliomzuia katika Kijiji cha Michiga, wilayani Nanyumbu alipokuwa akienda Masasi kuendelea na kampeni

DK MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma leo, ambapo aliahidi kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi akiwaomba wananchi wa Ruvuma kumpigia kura Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli waqkati wa mkutano wa kampeni wa CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, mkoani Ruvuma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwa na watoto aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma
Mwananchi akimpigia makofi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli baada ua kufurahishwa na hotuba yake katika Kijiji cha Kigonsera, wilayani Mbinga, Ruvuma leo.
Dk Magufuli akisalimiana na dada wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa kupitia CCM, na mhamasishaji Mkuu wa CCM, marehemu Kapteni John Komba, alipokwenda kutoa shada la maua kwenye kaburi Kapteni Komba katika Kijiji cha Lituhi, wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya kampeni za urais, ubunge na udiwani
Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba
Dk Magufuli na viongozi wengine wa CCM, wakiomba dua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba
Ngoma ikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani katika Kijiji cha Lituhi, Wilaya ya Nyasa
Dk Magufuli akinadi kwa wananchi katika Mji wa Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Ruvuma
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nyasa, Stelah Manyanya katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Lituhi
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli
Dk Magufuli akimvisha kofia ya CCM, aliyekuwa Mwenyekiti Mtedaji wa Kijiji cha Kwanza Kata ya Lituhi, kupitia Chadema, Sixbert Nyembo baada ya kutangaza kuwa yeye na wenzie zaidi ya 270 kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Lituhi, wilayani Nyasa leo
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli katika wakati msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji cha Rwanda, wilayani Mbinga
Wananchi wakishangilia katika Kijiji cha Amani walipomuona Dk Magufuli wakati msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji hicho kilichopo wilayani Mbinga
Msafara wa Dk Magufuli ukipita kwenye Barabara mpya ya lami inayotoka Songea kwenda Mbinga
Dk Magufuli akishangiliwa alipokuwa akiwahutubia wakati wa Kijiji cha Kigonsera waliomzuia alipokuwa akienda kwenye kampeni mjini Mbinga
Dk Magufuli akiwasamia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga
Dk Magufuli akihutubia wananchi na kutoa ahadi mbalimbali atakazozitekeleza akiwa chaguliwa kuwa rais ambapo alisema kuwa kila kijiji kuanzia mwakani kitapewa sh. mil. 50 za kuwakopesha vijana na akina mama
Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni
Dk Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kabla ya kumkabidhi mgombea ubunge Jimbo la Mbinga Vijijini wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akimsalimia mmoja wa walemavu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga
Sehemu ya wananchi walioshiriki kwenye mkutano wa kampeni za CCM katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma leo
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo la Peramiho
Mma mfuasi wa CCM akifurahi baada ya kumsikia Dk Magufuli akiahidi kuanzisha pensheni kwa wazee kuanzia mwakani
Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama akipokea Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka kwa Mgombea Urais kupitia chama hicho, Dk Magufuli wakati wa mkutano huo wa kampeni.
Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma

Sehemu ya wanchi wa Ruvuma wakinyoosha mikono kukubali kumpigia kura Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa MajiMaji mjini Songea
Mwenyekiti wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu nchini, Amon Mpanju akiwashutumu viongozi wa upinzani akiwemo mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba Wananchi Ukawa, Edward Lowassa kwa kitendo chake cha kuwadhihaki walemavu. Mpanju alikuwa akihutubia katika mkutano wa kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea