VIDEO:KATIBU WA CCM CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA AHAPA KUPAMBANA NA WANARUSHWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Katibu wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa RUVUMA AMINA IMBO amehapa kuwashukulia hatua kali wanachama wa chama hicho wanaojihusisha na utoaji rushwa wakati wa uchaguzi ,amesehayo wakati wa kuwachagua viongozi wa chama hicho katika ukumbi wa shule ya WASICHANA SONGEA habari kamili hii hapa video yake.

:RC RUVUMA AWAONYA WATUMISHI WA HALIMASHAURI YA MBINGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINE MNDEME amewataka watumishi kuvaa uzalendo wa nchi ilimkuweza kujenga uchumi wa kati wa viwanda , ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa Halimashauri ya wilaya ya MBINGA wakati wa ziara yake.
Inline image 1
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa