Barua kwa kwa watumishi wa umma

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Nawasalimuni nyote katika jina la nchi yetu nzuri Tanzania, Jina ambalo huko nyuma sote tuliliimba “Tazama ramani utaona nchi nzuri, yenye mito na mabonde mengi ya nafaka…nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaa!” Hakika wimbo huu vijana wengi siku hizi wanashindwa kuuimba, kwa nini? Uzuri wa taifa lao haupo tena, umepotezwa na baadhi yenu watumishi wa umma wasio na uadilifu. Sio siri vijana wetu kwa muda mrefu wameshindwa kujivunia taifa lao, wameshindwa kuongea mbele za watu kwa sauti kubwa kwamba wao ni Watanzania, uzuri...

KIJANA FIKIRIA MARA MBILI KISHA WEKA TIKI KWA MGOMBEA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  ...

Bi. Samia Suluhu Ahaidi Umeme Kila Kijiji Ruvuma, Viwanda vya Mahindi, Kahawa

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM. MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo. Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa wa Ruvuma...

LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia maelfu ya wananchi akiwa kwenye gari, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015 ambapo alihutubia mkutano wa kampeni ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni akiwa kwenye mkoa watatu baada ya kuzindua rasmi kampeni zake jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa ameendelea kuonyesha "nguvu" zake kisiasa kutokana na maelfu ya wananchi wanaojitokeza...

DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo.  Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.  Wananchi...

DK MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma leo, ambapo aliahidi kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay.  Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.  Mbunge...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa