Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma leo, ambapo aliahidi kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.
Mbunge...
Mgombea urais Dr Magufuli kufanya ziara ya kampeni Ruvuma kuanzia August 30 mwaka huu

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Picha kutoka Maktaba.
Na Jamvi la Habari Songea
MGOMBEA
Urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. John Magufuli anatarajiwa
kupokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo wanachama wa chama cha
mapinduzi katika kijiji cha Igawisenga wilayani Songea mkoa wa Ruvuma
akitokea mkoa wa Njombe tayari kuanza kampeni mkoani humo.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana kwenye ofisi za chama cha mapinduuzi mkoani
Ruvuma Mwenyekiti wa kamati ya maandilizi ya kampeni...