
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Na Mwandishi Maalum – Songea
Ufinyu wa Bajeti katika sekta ya michezo umechangia kwa kiasi kikubwa
kwa kituo cha Michezo cha kanda ya Kusini- Songea kushindwa kuendesha mafunzo ya muda mfupi kwa makocha, marefarii, madaktari wa michezo, uongozi na utawala katika michezo.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa kituo hicho Eliufoo Nyambi wakati akisoma
taarifa ya kituo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakati alipotembelea kituo hicho ili
kuona...