
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bw Hassan Bendeyeko akifungua kikao kati
ya wadau wa Sekta za Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Wizara husika
kilichofanyika Mjini Songea Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof.
Elisante Ole Gabriel na kulia ni Afisa Elimu MkoaBw.Gharama Kinderu
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo akisikiliza maelezo
ya baadhi ya vifaa vilivyotumika katika vita ya Majimaji kutoka kwa
Afisa Elimu Makumbusho ya Taifa Bi....