
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399..
SHUKURU KISONGA ni mtoto wa 5 kuzaliwa katika familia ya marehemu KISONGA yenye watoto 5, ni wanafunzi wa kidato chapili shule ya Sekondari MGOMBA iliyopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Amezaliwa mwaka 2001 , akiwa na mwaka mmoja tangu azaliwe shukuru anakubwa na ugonjwa ambao hadi sasa haujafahamika ni aina gani ya ugonjwa unaomsumbua , Tangu akubwe na ugonjwa huo mwaka 2002 hadi leo hii amekuwa akila vyakula ambavyo vinawashangaza watu.
Kwa undani wa habari hii bonyeza play. Na kwa yule atakayeguswa na tatizo...