
Katibu
wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akizungumza na
waandishi wa habari ofisini kwake ambao hawapo pichani.
Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akionyesha sehemu iliyoanzia moto kuwaka na kukamata pazia.
Kama unavyoona katika picha hapo ni ndani ya ofisi baada ya moto kuwaka.
Katibu
wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi anayeonekana
katika picha akitoa maelezo kwa nje ambapo walimwaga mafuta aina ya
petroli dirishani na kuwasha moto.
Huu ni mlango uliomwagiwa mafuta katika upenyo kisha kuwashamoto ambao haukuleta madhara...