Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
...
BABA WA KAMBO AMUUNGUZA MIKONO MWANYE KWA KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mtoto mmoja wa miaka
nane, mkazi wa Mjimwema Songea mkoani Ruvuma amefanyiwa ukatili wa kutisha na
Baba yake wa kambo aitwaye Stan Nyoni kwa kumchoma moto mikono yake yote miwili
kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani.Jeshi la polisi mkoani Ruvuma bado
linamsaka mtuhumiwa wa unyama huo,Stan Nyoni ambaye alitoroka baada ya kufanya
unyama huo huku mtoto huyo akiwa amelazawa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa
Ruvuma...
MAGAZETI YA LEO. KURASA ZA MBELE NA NYUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
...
Takukuru yataka sheria ya kufilisi walarushwa

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru,Dk Edward Hosea
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),
imetoa mapendekezo mapya ya kukabiliana na rushwa ikishauri sheria
zirekebishwe kuwabana wenye mali zilizopatikana kinyume cha sheria
kushtakiwa na kufilisiwa.
Takukuru imependekeza kuifanyia marekebisho Sheria ya Kupambana na
Kuzuia Rushwa, ili kosa la rushwa liwe la uhujumu uchumi na mhusika
mwenye mali nyingi anaposhindwa kuthibitisha alivyozipata afikishwe
mahakamani na mali zake zitaifishwe.
Mkurugenzi...