
Na Godfriend Mbuya
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Dr. Binilith Mahenge amesema ameagiza kila kata
kujenga zahati moja kwenye kijiji kimoja kila mwaka ili kurahisishia
wananchi kupat huduma za afya na kuepuka adhan ya kutembea umbali mrefu
tutafuta huduma.
Akizungumza na East Afrika Radio katika kipindi cha SUPAMIX Mahenge
amesema kama kata ina vijiji vinne basi ndani ya miaka minne itakuwa na
zahati kila kijiji, huku akisisitiza kuwa serikali ya mkoa imejipanga
vizuri kuhakikisha inatatua matatizo makubwa matatu suala la elimu, maji na afya.
“Wananchi
wanatumia muda mwingi kwenda kwenye maji, wanachukua muda...