
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera akimkabidhi mwanafunzi wa Shule ya msingi Mrusha Anna Nathan kwa niaba ya wanafunzi wenzake pesa kiasi cha shilingi elfu hamsini (50,000) kwa ajili ya kununua sukari ya kuweka katika uje wa wanafunzi. (Picha habari na Ruvuma TV ).
Wanafunzi wa shule ya msingi Mrusha wilaya ya Tunduru mkoani Tuvuma wapo hatari kudondokewa na kuta za madarasa wanayoseomea kutona na madarasa hayo kuwa na nyufa za muda mrefu, Habari kamili hii hapa video yake.
0 comments:
Post a Comment