Home » » VIDEO:FUKUTU LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KLABU YA MAJIMAJI LA PAMBA MOTO.

VIDEO:FUKUTU LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KLABU YA MAJIMAJI LA PAMBA MOTO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Klabu ya MAJIMAJI inatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi agust 5 mwaka huu ,ambao watakuwa na lengo la kuiongoza klabu hiyo na kuiletea maendeleo mkoa wa ruvuma kwa ujumla. Uchaguzi huo unafanyika baada ya viongozi wa awali kufikia kikomo wa kuiongoza klabu ya majimaji
https://youtu.be/xEZhepBTOnA HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa