
Mto Ruvuma unavyo onekana kwa juu
Hawa ni Vijana wa Ruvuma maarufu kwa WAYAO wakijitifautia ridhiki katika mto Ruvuma , Kila pikipiki moja huoshwa kwa Shilingi Elfu moja(1000) wanapokuwa wanaosha mafuta husambaa katika maji . Je kwa hali hii kuna matumizi mazuri ya vyanzo vya mto Ruvuma ikiwa mbele yake watu hutumia maji haya kwa matumizi ya nyumbani(kupikia na kunywa) Pia mto huu huumwaga maji yake katika Mto RUVUMA
Hawa ni akina mama wakifua nguo katika mto huu wa Ruvuma na pembeni kukiwa na mtoto anayechezea maji ,pengine mtoto huyu uwenda akawa anachota kwa mikono yake na kunywa
Hii...