Home » » VIDEO – WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA NA 42 WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BUS WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

VIDEO – WATU WA WILI WAMEFARIKI DUNIA NA 42 WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA BUS WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Watu wa wili wamefariki dunia na 42 wamejeruhiwa katika ajali ya bus aina ya FUSO lenye Namba za usajili T 606 CTY mali ya kampuni ya kisumapai linalofanya safari zake katika wilaya za Songea na Nyasa MBAMBABAY mkoani Ruvuma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa