VIDEO: WANANCHI WAANZA UJENZI WA ZAHANATI KWA NGUVU ZAO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Serikali imewahakikishia wakazi wa halmashauri ya mji wa nanyamba mkoani Mtwara kuanza kupata huduma ya upasuaji miezi mitatu ijayo kufuatia kuanza ujenzi wa kituo cha afya katika halmashauri hiyo Wakazi wa halmashauri hiyo kwasasa wanalazimika kusafiri kwenda halmashauri ya jirani ya tandahimba au Mtwara jambo ambalo wamekuwa wakilalamikia kwamba linaongeza gharama za matibab...

VIDEO:MASKOFU WAUNGANA NA WAUMINI KUUPOKEA MWILI WA ASKOFU MSEMWA MJINI SONGEA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Askofu wa jimbo la mbinga ASKOFU JOHN NDIMBO leo ameongoza mapokezi ya kuupokea mwili wa hayati askofu CASTOR MSEMWA aliyefarika dunia tarehe 19.10.1955 saa saba mchana ana amzishi yake yatafanika hapo kesho katika jimbo la MASASI TUNDURU mkaoni RUVUMA ,Akofu CASTOR MSEMWA ALIZALIWA TAREHE 13.02.2017 katika kijiji cha KITULIRA WIALAYANI NJOMBE . ...

WANANCHI WA HALMASHAURI YA MJI WA MADABA WAFURAHIA UJIO WA UMEME

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.   Wahandisi wa Shirika la umeem nchini TANESCO na mkandarasi kutoka kampuni ya m/s Isolux, wakijadiliana jambo pembezoni mwa moja ya transofa mpya zilizofungwa kwenye mji wa Madaba Oktoba 11, 2017.  Meneja wa TANESCO mkoa wa Ruvuma, Mhandisi Patrick Lwesya, akizungumza na wahariri kwenye eneo la ujenzi wa kituo kipya cha kupoza na kusambaza umeme wa kilovolti 220kV/33kV, eneo la Madaba.  Nyumba zikiwa na madishi ya tv kwenye Halmashauri ya mji wa Madaba...

VIDEO:IGP SIRRO TUTAPAMBANA NA WAALIFU MKOANI RUVUMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini TANZANIA IGP SIMON SIRRO amesema waalifu wote watafute sehemu ya kukimbilia ,amesema hayo wakati wa ziara yake mkaoni ruvuma wakati akizungumza na waandishi wa habari ,akitoa mkoani mtwa...

MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA CHINI YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI, TUNDURU MJINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  MWAKA 2016/17 Ukarabati wa machinjio ya Tunduru Mjini Jumla ya TSH 3,397,000/- zimetumika kujengea mfumo wa maji taka,ikiwa ni  kujenga shimo, mifereji na vifuniko vyake. Kazi inayoendelea katika eneo la mradi Halmasahuri ya Wilaya ya Tunduru Imetengwa jumla ya  tsh. 10,603,000/ za kuboresha eneo la machinjio iliyopo Tunduru mjini Kubadilisha na kujenga uzio kuzunguka machinjio , Kuweka masinki ya kunawia mikono, Kubadilisha tenki la maji lenye ujazo wa lita 10,000 na Mfumo wa maji safi kuanzia...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa