Home » » MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA CHINI YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI, TUNDURU MJINI

MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA CHINI YA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI, TUNDURU MJINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


  • MWAKA 2016/17
  • Ukarabati wa machinjio ya Tunduru Mjini
Jumla ya TSH 3,397,000/- zimetumika kujengea mfumo wa maji taka,ikiwa ni  kujenga shimo, mifereji na vifuniko vyake.
Kazi inayoendelea katika eneo la mradi
Halmasahuri ya Wilaya ya Tunduru Imetengwa jumla ya  tsh. 10,603,000/ za kuboresha eneo la machinjio iliyopo Tunduru mjini
  • Kubadilisha na kujenga uzio kuzunguka machinjio ,
  • Kuweka masinki ya kunawia mikono,
  • Kubadilisha tenki la maji lenye ujazo wa lita 10,000 na
  • Mfumo wa maji safi kuanzia kwenye tenki,
  • Kubadilisha waya na nyavu za madirisha
  • Kununua na kuweka mageti ya uzio,
  • Kuchimba na kujengelea shimo lenye ukubwa wa m3X3X6 Kwa ajili ya mapitilizo(condemnations)
Miradi uko katika hatua ya umaliziaji
Chanzo Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa