VIDEO:NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Naibu waziri wa ujenzi ELIAS KWANDIKWA amemwagiza mkandarasi anayejenga daraja la RUHUHU liliopo lituhi wilayani nyasa mkaoni ruvuma ambalo pia linganisha mkoa wa LUDEWA kukamilisha kwa wakati ili kupisha shughuli za maendeleo zinazofanywa na wananchi katika maneneo hayo. Naibu waziri kwandikwa amesema hayo mara baada ya kukagua ujenzi wa daraja hilo na kuridhishwa na hali ya ujenzi unaofanya na kampuni ya lukolo HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE...

VIDEO:RC RUVUMA AWAONYA WAFANYABIASHARA WA MBOLEA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma B CHRISTINA MNDEME amefanya ziara ya kushitukiza katika maghara ya SONAMCU ya kuhifadhia mbolea huku akikuta uchache wa mbolea katika maghara hayo habari kamili hii hapa video yak...

VIDEO:WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA NYASA KUMALIZA TOFAUTI ZAO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania KASSIM MAJALIWA, amewaagiza viongozi wa halimashauri ya NYASA akiwemo mbunge wa jimbo hilo, mkuu wa wilaya na mkurugenzi, kumaliza tofauti zao na madala yake wawaletee wananchi maendeleo. Rai hiyo ameitoa wakati akizungumza na watumishi na wakuu wa idara mbalimbali wa halimashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. ...

VIDEO:WAZIRI MKUU AMEIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUUNDA CHOMBO KITAKACHOSIMAMIA MASUALA YA FUKWE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Waziri mkuu KASSIM MAJALIWA ameiagiza wizara ya maliasili na utalii kuunda chombo kitakachomamia maeneo yenye fukwe, ili kulinda maeneo hayo yaweze kuvutiwa na watalii wakigeni wanaokuja katika maeneo hayo. Waziri mkuu ameyasema hayo wakati wa kufunga tamasha la utalii lililofanyika MABAMBA BAY wilayani ya NYASA mkoani Ruvuma....

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA SONGEA MJINI WAZIDI KUIMALIZA KAMBI YA UPINZANI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Moses Machali akimnadi Dkt Damas Ndumbaro Wakati kampeni za kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la Songea mjini mkoani Ruvuma zikiendelea katika kata mbalimbali za manisipaa ya Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya kumpata mbunge wa jimbo hilo ambaye chama cha mapinduzi kimemteua Dkt Damas Ndumbaro kupeperusha bendera ya chama hicho waliokuwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani nchini wamezidi kujitokeza kwenye kampeni hizo na kutangaza kuachana na vyama vyao vya awali. Miongoni mwa viongozi hao wa vyama...

MHASIBU HALMASHAURI YA NAMTUMBO MKOANI RUVUMA AJISHINDIA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA TATUMZUKA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Mh.Luckiness Amlima akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 50 Mkazi wa wilaya ya namtumbo mwenye umri wa miaka 31,ambaye ni Mhasibu msaidizi wa halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma,ndugu Jacob Ndee aliyejishindia kitita cha shilingi milioni 50 .   Akielezea kwa furaha za kushinda kitita cha milioni 50 za mchezo huo wa kubahatisha wa TatuMzuka,Jacob alisema kuwa ndoto yake kubwa siku akipata fedha za kutosha atazitumia kwa Kilimo,Anasema...

Dkt KALEMANI akagua maeneo ambayo Waziri Mkuu ataweka Jiwe la Msingi

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametembelea maeneo mawili anayotarajiwa kuwekewa jiwe la msingi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tarehe 7/01/2018 katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Mradi wa kwanza aliotembelea ni wa jengo la Tanesco Mkoa wa Ruvuma lililoanza kujengwa mnamo mwaka 2014 ambao ulitarajiwa kukamilika mwishaoni mwa mwaka jana na kushindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Mkandarasi. Aidha mradi wa jengo hilo unatarajiwa kukamilika mwezi Aprili...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa