Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katika kuboresha huduma za afya mkoa wa ruvuma kupeleka wanafunzi wanaosomea masomo ya sayansi katika vyuo vya afya ili kuboresha huduma za afya mkoani hapo hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya songea POLOLETH MGEMA habri kamili hii hapa video yake .....
TUNDURU WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS KWA VITENDO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Juma Homera .
Serikali ya Wilaya ya Tunduru imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli la kujenga kituo cha Afya kila kata kwa nchi nzima, Ambapo wilaya hiyo tayari imenza ujenzi wa kituo cha Afya katika kata ya Nakayaya . Ujenzi wa kituo hicho cha Afya umefikia hatua ya kuezekwa na unatarajiwa kukamilika mwakani .Hii hapa video yenye habari hiyo.
...
DK. KIGWANGALLA AZINDUA ZOEZI LA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI NA SHINGO YA KIKZAZI MKOANI RUVUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Hamisi
Kigwangalla akipokea maelezo kutoka kwa wataalam wa MEWATA juu ya zoezi
hilo.
Rais
wa MEWATA, Dkt Serafina Baptist Mkuwa akimpa maelezo Naibu Waziri wa
Afya Dk. Kigwangalla wakati akizunguka kukagua maeneo ya ukaguzi wa
upimaji huo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Hamisi
Kigwangalla akipokea maelezo kutoka kwa wataalam wa MEWATA juu ya zoezi
hilo.
Zoezi...
VIDEO - MATUKIO YA WIKI YALIYOJILI MKOANI RUVUMA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399....
WAZIRI JENISTA, NAIBU WAZIRI DKT. KALEMANI WAZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME VIJINI REA III KWA KUGAWA VIFAA VYA UMEME TAYARI (READY BOARD MKOANI RUVUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
...
MATUKIO MBALIMBALI YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wakwanza kutoka kushoto ni Ditha Nyoni na Nancy Mbogoro watangazaji wa RUVUMA TV, Kama ulipitwa na matkio ya wiki yaliyo jili mkoani ruvuma kuanzia tarehe 07-13 August 2017 basi tumekusogezea matukio hayo kama ilivyo kawaida yetu.
...
VIDEO:JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI MKOA WA RUVUMA KUFUNGUA KLABU MIA MOJA ZA USALAMA KWA SHULE ZA MSINGI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa ruvuma ABEL SWAI apania kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi kwa kufungua klabu za usalama ili kusaidia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari....
MALI ZA MIL 300/- ZANADIWA KULIPA MADENI YA USHIRIKA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MALI mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 300 zimepigwa
mnada mkoani Ruvuma ili kulipia madeni yaliyokopwa katika vyama vya
ushirika. Minada hiyo iliyoendeshwa na Kampuni ya Kapondogoro Auction
Mart, ilifanyika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kukusanya madeni
yote na kufufua vyama vya ushirika. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa kampuni
hiyo, Mathew Mkumbo, vyama vya ushirika Ruvuma vinadai Sh bilioni nne.
Mnada huo ulijumuisha uuzaji wa magari, pikipiki fenicha za ndani pamoja
na madeni ya nyuma. Pamoja...
VIDEO – MATUKIO 12 YALIYO MAKE HEADLINES MKOANI RUVUMA KUANZIA 07 -13 AUGUST 2017

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wakwanza kutoka kushoto ni Ditha Nyoni na Nancy Mbogoro watangazaji wa RUVUMA TV, Kama ulipitwa na matkio ya wiki yaliyo jili mkoani ruvuma kuanzia tarehe 07-13 August 2017 basi tumekusogezea matukio hayo kama ilivyo kawaida yetu....
WILAYA YA NEWALA INAHITAJI TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KILIMO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambayo yameandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB). Kutoka kushoto ni Mtafiti, Bestina Daniel kutoka COSTECH na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Ally Lilama.&nb...
WILAYA SONGEA HATARINI KUGEUKA JANGWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Imeandikwa na Muhidin Amri, Songea
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Polole Mgema
WILAYA ya Songea mkoani Ruvuma inakabiliwa na tishio la kugeuka
jangwa kutokana na wananchi kukata miti, kuchoma misitu moto na baadhi
ya watumishi wasiokuwa waadilifu kuruhusu wafugaji kutoka mikoa
mbalimbali nchini kuingiza idadi kubwa ya mifugo bila kufuata sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea, Polole Mgema wakati
akitoa salamu za...
SHUGHULI MBALIMBALI ZA KILELE CHA SIKU YA WAKULIMA NANE NANE MKOANI RUVUMA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu tawala msaidizi utumishi na utawala katika sekretarieti ya mkoa wa Ruvuma Bw. Biseko Bwai (kushoto) akiangalia maziwa yaliyosindikwa na mjasilimali mdogo aliyefahamika kwa jina moja la mama Tarimo wakati wa kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma jana.
Afisa kilimo kutoka halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Bw. Jibinza Masaba (kushoto) akiwaeleza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesha ya siku ya wakulima nane nane nyanya ambazo zinaweza kuishi na...
UNAJUA?: ANGALIA PICHA YA JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"
1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma,
2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake,
3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni
juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha'
4. Ni ngumu kulizunguka,
5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,
6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote
anayetaka kulifikia ama kupanda,
7. Ni kivutio kikubwa kwa...
VIDEO - KIJANA AELEZEA MKASA WA BABA YAKE MZAZI PAMOJA NA BIBI YAKE WALIVYOLIWA NA MAMBA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kijana Emidio Nkoma mkazi wa kijiji cha Londo kilichopo Wilaya ya Nyasa
Mkoani Ruvuma, Aelezea mkasa wa baba yake mzazi pamoja na bibi yake
walivyoliwa na mamba katika Daraja la mto Rwika ambalo linaunganisha
kijiji cha Londo na Ngido...
WAKULIMA RUVUMA WATAKIWA KULIMA MAZAO YENYE TIJA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wakulima mkoani RUVUMA wametakiwa kuzalisha mazao yeye tija ili kukuza sekta ya kilimo na kupanua uzalishaji ili kuifanya nchi ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ambapo mkoa wa ruvuma ni kati ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi hapa nchini Tanzania.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE...
WAUMINI WA KANISA LA EFATHA MJINI SONGEA WACHANGIA DAMU
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waumini wa kanisa la EFATHA MINISTRY lililopo katika manispaa ya SONGEA mkoani RUVUMA wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa watu wenye uhitaji wa damu, ambapo zoezi hilo la kuchangia limefanyika kanisani hapo.
PHILIPO GUNI ni baba wa kiroho katika kanisa hilo anasema kutokana na mateso mengi wanayoyapata ndugu zetu hususani akina mama wajawazito na watu wanaopata ajali ndicho kilicho wasukuma zaidi.habari kamili hii hapa video yake
...