Serikali Kupitia Wizara Ya Nishati Imetoa Kiasi Cha Shilingi Bilioni 210 Kwa Ajili Ya Mradi Wa Umeme Kupitia Makambako Hadi Mkoani Ruvuma ambao utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya 22,000 sawa na vijiji 120 kwa mikoa yote miwili RUVUMA na NJOMBE.HABARI KAMILI HII VIDEO YA...
VIDEO:RC MNDEME MKANDARASI WATAKAYESHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAKE MWONDOENI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
mkuu wa mkoa wa ruvuma CHRISTINE MNDEME amemwagiza kurugenzi wa maji mjini songea SOWASA kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi huku wakandarasi watakao kiuka mikataba kwa kushindwa kutimiza majukumu yao basi waondolewe mara moja habari kamili hii hapa video ya...
VIDEO:RC RUVUMA AMELITKA SHIRIKA LA UMEME MKOA WA RUVUMA KUTOWAFUMBIA MACHO WADAIWA SUGU.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
NA DITHA NYONI RUVUMATV
Mkuu mkoa wa Ruvuma CHRISTINE MNDEME amelitaka shirika la umeme mkoa wa ruvuma kutowa fumbia macho wadaiwa sugu wa umeme kwani kufanya hivyo nikuitia hasara serikali kwani hizo ni pesa ni kodi za wananchi hivyo hata kama ofisi yake inadawa wanapaswa kukata umemee...
VIDEO:WANAFUNZI WA SHULE YA WASICHANA SONGEA WATOA WITO KWA VYOMBO VYA MOTO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Klabu ya usalama barabarani kutoka shule ya sekondari wasichana songea imeendesha mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva pikipiki na magari katika manispaa ya songea habari kamili hii hapa video yake...
RC RUVUMA AKANUSHA TAATIFA ZIANAZOZAGAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUWA MAPIGA MARAFUKU KUITA BABY
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
NA DITHA NYONI WA RUVUMA TV
Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekanusha taarifa zilizozagaa
kwenye mitandao ya kijamii kuwa amepinga marafuku wananchi wa mkoa wa
Ruvuma wasiitane baby.
Tamko
hilo amelitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ikulu
ndogo ya mkoa wa Ruvuma , hii inakuja baadaya ya taarifa kuzagaa na
yenye picha inayoonesha mavazi tofauti na eneo alilokuwa anatoa ujumbe
katika shule ya sekondari NASULI na MBAMBA BAY huku ujumbe ukisomeka
“marukuku kuitana...