Home » » VIDEO:RAIS MAGUFUL ATOA BILIONI 210 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA UMEME SONGEA HADI MAKAMBAKO.

VIDEO:RAIS MAGUFUL ATOA BILIONI 210 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA UMEME SONGEA HADI MAKAMBAKO.

Serikali Kupitia Wizara Ya Nishati Imetoa Kiasi Cha Shilingi Bilioni 210 Kwa Ajili Ya Mradi Wa Umeme Kupitia Makambako Hadi Mkoani Ruvuma ambao utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya 22,000 sawa na vijiji 120 kwa mikoa yote miwili RUVUMA na NJOMBE.HABARI KAMILI HII VIDEO YAKE

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa