
MFUKO
WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA
(PSPF)
TARATIBU
WA KULIPA MICHANGO KWENYE MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI (PSS)
Mfuko
wa Pensheni wa (PSPF) unapenda kuwataarifu wanachama wake wa Mpango wa
Uchangiaji wa Hiari juu ya mabadiliko ya akaunti za malipo kama ifuatavyo:-
1. JINA
LA AKAUNTI: PSPF
SUPPLEMENTARY SCHEME
2. JINA
LA BENKI: CRDB
·
Akaunti
na. 0150237443000 kwa fedha za kitanzania
·
Akaunti
na. 0250237443000 kwa Fedha ya kigeni (Dola)
·
3. ...