Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Na.Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Dkt. Abdallah Possi ameiasa jamii
kuwashirikisha watu wenye ulemavu katika shughuli zote za maendeleo ili
kusaidia kuwainua na kuondokana na dhana ya utegemezi na kuwakwamua
kiuchumi.
Dkt.Possi ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Wilaya za Mbinga, Songea Vijijini na Nyasa mkoani Ruvuma ambapo alitembelea Shule zenye kuhudumia watu wenye mahitaji...
VIDEO - NAIBU WAZIRI POSSI AWAPA UKWELI WAHITIMU AJUCO SONGEA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi...
VIDEO - WAKAZI WA MWENGE MSHINDO WA MUOMBA RAIS AWASAIDIE WAWEZE KULIPWA STAHIKI ZAO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi ya wananchi wa kata ya MWENGEMSHINDO Manispaa ya SONGEA mkoani RUVUMA ambao maeneo yao yamechukuliwa na MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) kwa kipindi cha miaka tisa iliyopita bila kuwalipa fidia yoyote, wamemuomba rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DOKTA JOHN POMBE MAGUFULI kuingilia kati suala hilo ili waweze kupata haki yao.story kamili bonyeza hiyo video....
VIDEO- WAKULIMA WA ZAO LA KORSHO TUNDURU WANUFAIKA NA BEI MPYA YA ZAO HILO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WAKULIMA wa korosho Wilaya ya Tunduru, wameondokana na umasikini
kutokana na kupata soko la uhakika baada ya Kampuni ya Namela General
Trade kushinda zabuni ya kununua zao hilo wakulima kwa bei ya Sh 3,757
kwa kilo, ikizishinda kampuni nyingine saba.
Hadi kufikia Novemba 14, kulikuwa na zaidi ya tani 541 zilizoingizwa
katika ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Wilaya ya Tunduru (Tancu)
ambako kampuni hiyo ilipewa kununua korosho tani 400 huku Kampuni ya
Machinga iliyoshinda nafasi ya pili katika mnada huo, ikipata...
Bei ya kununua mahindi yaongezwa

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Imeandikwa na Muhidini Amri, Songea
SERIKALI kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Kanda
ya Songea, imelazimika kuongeza bei ya kununulia mahindi ya wakulima
mkoani Ruvuma kutokana na ushindani mkubwa, baada ya kuwepo kwa wanunuzi
binafsi wengi wanaonunua mahindi kwa bei kubwa.
Kutokana na ushindani uliopo, NFRA kuanzia Novemba 7, mwaka huu
ililazimika kupandisha bei ya kununua mahindi hadi kufikia Sh 580 kwa
maeneo ya vijijini na Sh 600 kwa watakaoleta...
SERIKALI YATENGA BILIONI 13 KUWEKA MAJI SAFI RUVUMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
1024x768
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...
Elimu yaondoa Presha kwa Wazazi Mwaka mmoja wa Serikali ya JPM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
Na
Jonas Kamaleki- MAELEZO
Bijampola ni kijana
aliyekuwa na bidii sana shuleni, ndoto yake ilikuwa awe rubani pindi akimaliza
masomo yake ya taaluma hiyo. Kwa bahati mbaya kwa kijana huyo, wazazi wake
walikosa ada ya kumsomesha, hivyo akaishia darasa la nne na ndoto yake ikaishia
hapo, kwa sasa ni mtoto wa mitaani, inasikitisha. Je Bijampola...