Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu na ujumbe wake wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw. Abdulah
Lutavi akiwatembeza kwenye eneo lililotengwa na Wilaya hiyo kwa ajili
ya kujengewa nyumba na NHC. Shirika la Nyumba litajenga nyumba za
gharama nafuu katika halmashauri hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu, Mkuu wa Wilaya Natumbo, Bw. Abdulah Lutavi na ujumbe wao
wakijadiliana kwenye eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu na
Shirika la Nyumba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu na msafara wake wakikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama
nafuu wa Mkuzo, Songea. Mradi huo una jumla ya nyumba 18.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu akitembelea nyumba za Shirika za gharama nafuu zilizojengwa eneo la Mkuzo, Songea.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu akizugumza na Watendaji wa Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma
kuhusu mpango wa NHC wa kuwekeza ujenzi wa nyumba katika halmashauri
hizo.
Sehemu ya Watendaji wa Halmashauri za mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu (hayuko pichani) alipozungumza na mkoa huo kuonyesha jia ya kujenga nyumba katika mkoa huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu akiongea na Watendaji wa
Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Shirika la Nyumba la Taifa na
kulihakikishia Shirika kupewa viwanja vya kujenga nyumba katika
halmashauri zote za mkoa huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu akiangalia ufyatuaji wa matofali wa vikundi vya vijana Peramiho vilivyosaidiwa mashine hizo na NHC.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu akisikiliza maelezo ya kiongozi wa kikundi cha vijana Peramiho.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu akishiriki katika ufyatuaji wa matofali na vikundi vya vijana wilayani Peramiho mwishoni mwa wiki.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu ukitembezwa katika maeneo yenye viwanja katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu akionyeshwa ramani ya eneo walilokabidhiwa na halmashauri ya Mbinga
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu na ujumbe wake
wakionyeshwa viwanja na Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga,
Bw. Julius Mwakafwila vitakavyotumika kujenga nyumba za gharama nafuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu katika picha ya pamoja na Watendaji wa wilaya ya Mbinga na NHC
wakati akiagana na ujumbe wa Halmashauri ya Mbinga mwishoni mwa wiki
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment