Home » » “ TUNDURU MPYA INAKUJA,TUPIGE KAZI KWA KUSHIRIKIANA ,HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA” DC TUNDURU

“ TUNDURU MPYA INAKUJA,TUPIGE KAZI KWA KUSHIRIKIANA ,HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA” DC TUNDURU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera
Wilaya ya Tunduru ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma, Ni wilaya iliyokuwa nyuma kimaendelea kuanzia miundo mbalimbali japo ni wilaya iliyojaa utajili wa madini. Mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera anakuja na na mkakati wa Tunduru Mpya , fuatilia ujue ni upya gani anakuja nao ambao utaiweka tunduru kuwa ya kisasa.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa