Home » » VIDEO:WATAALAMU WA AFYA WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KUWATEMBELA WAGONJWA MARA KWA MARA.

VIDEO:WATAALAMU WA AFYA WAMETAKIWA KUJENGA MAZOEA YA KUWATEMBELA WAGONJWA MARA KWA MARA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Zaidi ya asilimia 80 ya saratani za mlango wa kizazi hutokea katika nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa nchi mojawapo ukilinganisha na Nchi nyingine,kutoka na tatizo hilo maganga mkuu wa mkoa wa ruvuma goziberth mutayhabarwa amewataka wataalamu kuwa na desturi ya kuwa angalia wagonjwa pale wanapokuja kucheki afya zao.Rai hiyo ameitoa wakati wa kufungua mkutano wa siku mbili wa kuhamasisha timu za afya kuhusu saratani ya mlango wa kizazi ,matiti na kifua kikuu.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa