Madereva pikipiki maarufu kwa jina boda boda wametakiwa kujitambua wao ni watu muhimu katika jamii inayowazunguka kutokana na huduma wanazotoa,Kauri hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa RUVUMA GIMINI MUSHY , wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Songea Club uliopo Wilaya ya Songea Mkoani RUVUMA.habari kamili hii hapa video yake
Home »
» VIDEO:RPC RUVUMA- MADEREVA PIKIPIKI JAMII INATAMBUA HUDUMA ZENU.
VIDEO:RPC RUVUMA- MADEREVA PIKIPIKI JAMII INATAMBUA HUDUMA ZENU.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment