Engineer Boniface Njombe akitoa Elimu kwa Wandishi wahabari jinsi Umeme unavyo fanya Kazi akiwa na wafanyakazi wa Tenesco
Engineer Boniface Njombe akionyesha mashine zilizoko Katika Mtimbo iliyoko Kiblangoma Manspaa ya Songea
Engineer Boniface Njombe akicheza na Watoto eneo la Magagula Songea vijijini
Alipo ulizwa jinsi gani anajisikia kucheza na watoto Engineer alijibu kuwa hujisikia vizuri kucheza na watoto kwa kuwa hata yeye alipata malezi mazuri kutoka kwa watu tofautofauti jambo lililo mpa ujasiri alio nao hadi leo
Changamoto zipo pale unapo taka kitu kizuri hata Asali ni Tamu lakini utengenezaji wake ni mgumu ukiwa uliza nyuki kufika Tulila Chipole ni kazi hapo Gari la Engineer Boniface Njombe lime kwama katika mlima Magagula songea vijijini ili chukua saa moja kuli kwamua
Jopo la walatamu wa Umeme kutoka kulia ni Engineer Boniface Njombe anaye fuatia ni Mtawa Hisani Mhagama aliye kati ni Engineer Ake Aurebekk na anaye fuata ni Mhandisi chui na wa mwisho ni msaidizi wa meneja wa Tenesco Songea
Engineer Ake Aurebekk akionyesha jinsi bwawa la umeme litakavyo jengwa eneo la Tulila
maporomoko ya maji katika mto Tulila yanayo jengwa kwaajili ya uzalishaji Umeme
Waandishi wahabari kutoka vyombo mbambali wakipata chakula baada ya kazi kubwa ya kutembelea mporomoko ya maji katika kijiji cha Tulila ambayo yana jengwa kwa ajili ya kufua umeme

0 comments:
Post a Comment