Kamishna
Msaidizi- Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Fredy Mahobe kutoka
Wizara ya Nishati na Madini akifafanua taratibu za kupata mikopo kwa
wachimbaji wadogo.
Mhandisi
Heri Issa kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) akionesha jinsi
uchekechaji wa madini unavyofanyika, katika mafunzo ya wachimbaji
wadogo yanayoendelea huko Tunduru mkoani Ruvuma.
Mjiolojia
Mwandamizi kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw. Julius Sarota
akielezea matumizi ya zebaki kwenye uchenjuaji wa madini katika mafunzo
ya wachimbaji wadogo yanayoendelea huko Tunduru mkoani Ruvuma.
Wataalamu
kutoka Wizara ya Nishati na Madini ( waliokaa mbele) ikiwa ni pamoja na
washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa
zinawasilishwa.
Picha na Michuzi Media
0 comments:
Post a Comment