Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wakati Rais Jakaya Kikwete akifungua Bunge Maalumu la Katiba
wiki iliyopita mjini Dodoma alisema kuwa asingependa kuona muundo wa
Serikali tatu ukitokea wakati bado akiwa madarakani.
Alisema angependa ikitokea hivyo iwe ni baada ya yeye kumaliza muda wake.
Ilikuwa baada ya kutoa ufafanuzi mrefu wa athari
za kuchagua muundo wa serikali tatu huku akisisitiza msimamo wa chama
chake, CCM wa serikali mbili.
Hotuba yake ilikuja siku chache tu baada ya
mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
kuhutubia Bunge hilo.
...
VIJIJI VIWILI VYAANZA KUVUNA ASALI KWA WINGI
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wananchi
wa vijiji vya Mtyangimbole na Gumbiro Songea Vijijini baada ya miezi
miwili wanatarajia kuvuna kilo 500 za Asali na Nta kilo
50 baada ya kutundika mizinga 50 katika Msitu wa Hifhadhi
Mkuu
wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Thabiti...
Mamba amuua mvuvi Mto Lwika
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MASALIA ya mwili wa Charles Mkoma (37), mwanakijiji wa Liuli, wilayani Nyasa, Ruvuma yamekutwa kandokando ya Mto Lwika.
Mkoma, aliuawa baada ya kukamatwa na mamba wakati alipokwenda kuvua samaki kwenye mto huo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Akili Mpwapwa, alisema mabaki hayo yalipatikana mchana wa Machi 8, mwaka huu.
Akifafanua zaidi alisema mabaki ya mwili wa marehemu huyo
yaligunduliwa na watu waliokuwa wakimtafuta baada ya kutooneka nyumbani
kwake kwa siku nne.
Chanzo;Tanzaniz Dai...
Chadema yawaonya wanaochafuana
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa amewaonya baadhi ya
wanachama wanaochafuana na waliojitokeza kutangaza nia ya kugombea
nafasi mbalimbali za udiwani, ubunge kabla ya wakati akiwamo mwenyekiti
wa chama hicho mkoani hapa, Joseph Fuime.
Mwenyekiti huyo anadaiwa kutangaza nia ya kugombea
ubunge wa Jimbo la Songea mjini na kutakiwa kuacha mara moja, kabla ya
hatua kali za kinidhamu hazijachukuliwa dhidi yao kama kanuni ya chama
hicho inavyosema,ikiwamo pamoja na kufukuzwa uanachama, kusimamishwa au
kupewa adhabu zilizopo kwenye kanuni.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu jana...
Diwani apinga ongezeko la mitaa, kata
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
DIWANI wa Misufini katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea,
Ruvuma, Salum Mfamaji (CHADEMA), amesema kuongezwa kwa mitaa katika
manispaa hiyo ni kuibebesha mzigo serikali na wananchi.
Mfamaji alisema hayo wakati akichangia hoja katika kikao cha Baraza
la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani humo
kilichofanyika chini ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea, Charles
Mhagama.
Alisema mantiki ya kuendelea kuongeza mitaa wakati iliyopo kuihudumia
kwake ni matatizo huku akisisitiza kwamba kuendelea kuongeza kata
wakati watendaji wa mitaa na kata wanalipwa...
BASI LA SAIBABA LAPATA AJALI LIKITOKA SONGEA KUELEKEA DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Picha
zikionesha basi la kampuni ya Saibaba Express linalofanya safari zake
kati ya dar - Songea likiwa limeacha barabara na kuparamia mti uliopo
pembeni mwa barabara eneo la Kidegebasi iRINGA, barabara ya Iringa Mbeya
Haikufahamika
maramoja chanzo cha ajali hiyo, na kama kuna majeruhi ama la, lakini
mwandishi wetu ameshuhudia polisi pamoja na abiria wakiwa eneo la tukio
kuona namna ya kufanya
Basi hilo lilikuwa likitoka Songea kuelekea dar es Salaam, na imetokea majira ya...
MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI NA MMOJA WA WAANZILISHI WA TIMU YA MAJI MAJI YA SONGEA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mzee
Abdala Alli alikuwa mmoja wa waanzilishi wa timu ya Majimaji ya Songea
wana lizombe,yeye na wenzake watatu ndiyo walianzisha timu hiyo,Alikuwa
mzee Mbegambega,Mzee Mshamu wakiongozwa na Mhe,Laurensi Mtazama Gama hao
wote kwa sasa ni marehemu.
PICHA NA MPENDA MVULA.
Mmoja wa watani wa Kabila la Wayao akimpaka unga usoni mtoto wa Kwanza wa kiume Hamisi Abdala Alli,
Siyo Igizo ni utani kati ya Wamwela na Wayao.
Mfiwa uruusiwi kufuta huo unga ukifuta tu wanakuja na debe zima...