Jana akiahirisha bunge, makamu mwenyekiti aliwakumbusha wajumbe kuwa wasome karatasi walizogawiwa kwa kuwa leo watafanya maamuzi magumu ya kubadili kanuni, ni kanuni zile zinazopigiwa upawa na ukawa, huenda kanuni ya theluthi mbili ili wapitishe katiba yao kilaini.---------------------MandaAnawasilisha azimio la kufanya marekebisho ya kanuni kutoka na vifungu vya 56 na 57 ya kanuni za bunge maalum.-kanuni ya 32,33,35,41,60, 62 na kanuni ya 82.-yatasomwa iwe yatawasilishwa.-Msingi wa kufanya marekebisho ni kuweka utaratibu mzuri kwa wajumbe kupeleka majedwali katika kamati zao badala ya kwenye bunge. inapendekezwa kufutwa kwa utalratibu wa awali wa kuleta mapendekezo bungeni.. kurekebisha ili maoni ya wachache wasome wenyewe.Suzan Marwa anasema;tumekuja kutunga katiba ya wananchi sio...
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
...
CHANGAMOTO ZA USAFIRI RUVUMA ZA PUNGUA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
Wananchi wa Mkoa wa
Ruvuma wameisifu SUMATRA kwa kuweza kusimamia safari za Mabasi na kufanikisha
kupanga safari katika sehemu ambazo zilikuwa ni kero kwa Wananchi wa Mkoa wa
Ruvuma.
Mohamed Chichi akizungumza kwa niaba ya Wasafiri katika Kituo
Kikuu cha Mabasi Songea, amesema katika Changamoto zilizokuwa zinawakabili
Wananchi wa Mkoa...
PICHA ZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI "THOMAS LIPUKA KOMBA"ALIYEZIKWA KIJIJINI KWAO MKILI WILAYANI NYASA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka komba
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini
Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio
Mjane wa marehemu Christina Haule akiweka shada la maua
Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla. Marehemu Thomas Lipuka Komba ni miongoni mwa waanzilishi...
Wafanyabiashara Songea walazimishwa kugoma
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Songea wamelazimishwa na
wenzao kuingia katika mgomo wa kupinga matumizi ya mashine za
kielektroniki za kutolea risiti za EFD.
Waliolazimishwa ni wamiliki wa baa na vituo vya
kuuza mafuta ambao wamekuwa wakiendelea kufanya biashara zao kabla ya
baadhi ya wenzao kukodisha ‘mabaunsa’ kuwalazimisha kufunga biashara zao
kwa kile kilichoelezwa kuwa ni wasaliti.
Pamoja na serikali mkoani Ruvuma kutumia polisi
kufanya doria katika maeneo mbalimbali ya mji mgomo huo umeendelea huku
wahusika wakishinikiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa
wa Ruvuma,...
Meja Jenerali Msemwa kuzikwa leo

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399
img alt="MWILI wa aliyekuwa Meja Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kevin Msemwa, umewasili mjini Songea na kupokewa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu. Mwili huo uliwasili jana, saa 4 asubuhi kwa ndege ya jeshi hilo katika Uwanja wa Ndege wa Ruhuwiko wa mjini Songea na kuelekea nyumbani kwa marehemu maeneo ya...
WAZABUNI SONGEA WAKUMBUSHIA DENI LAO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WAZABUNI wa vyakula katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea,
wameikumbusha serikali kuangalia uwezekano wa kuwalipa deni lao la
zaidi ya sh bilioni moja lililotokana na kulisha katika shule za
sekondari, vyuo na taasisi mbalimbali mkoani hapa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima jana,
wazabuni hao ambao hawakutaka kutajwa majina, walisema pamoja na ahadi
nyingi za viongozi wa kitaifa kutolewa juu ya kulipa madeni hayo,
lakini hadi sasa hakuna utekelezaji.
Walisema mbali ya Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na Naibu
Waziri wa Elimu...
MWAMBUNGU AMPONGEZA MKANDARASI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, amepongeza mradi wa ujenzi
wa majengo ya Shule ya Sekondari Unberkant iliyopo kwenye Kata ya
Mtipwili wilayani Nyasa mkoani hapa unaofanywa na Kampuni ya Ovans
Construction (Ltd) ya Mbinga.
Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia (WB) kupitia Serikali ya Tanzania kwa thamani ya sh 288,254,380.
Mwambungu alitoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki baada ya kutembelea
shuleni hapo kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi alipofanya ziara
wilayani Nyasa.
Alisema mkandarasi anayesimamia mradi huo anastahili pongezi...