Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema mtu yoyote atakaye
haribu vyanzo vya maji au kutumia Maji ovyo hatua za kisheria zitachukuliwa
dhidi yake.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu ameya sema hayo wakati
wadau mbalimbali wa Bonde la Mto Ruvuma na Pwani ya Kusini kujadili jinsi
ya kukabiliana na Majanga yanayo sababisha kiwango cha maji kushuka.
Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema kiwango cha uharibifu wa mazingira katika
mkoa wa Ruvuma una zidi kuongezeka kwa watu kilima katika vyanzo vya maji
pamoja na kutumia maji bila kibali cha Maafisa wa Bonde la mto Ruvuma , watu
hao wakibainika wata kamatwa na kufikishwa kwenye vyombo kisheria
Afisa wa Maji
Katika Bonde la Mto Ruvuma na Pwani ya
Kusini. Masaru Razaro Msengi amesma kiwango cha maji katika Mito
na hata upatikanaji wa Mvua mkoani Ruvuma umepungua kutoka milimita 1200
za mwaka 2010 hadi kufikia milimita 600 kwa mwaka 2013 hii ina tokana
uharibifu wa mazingiza.
Mwenyekiti wa
Halimashauri ya wilaya ya Nyasa Odo Mwisho katika kukabiliana na upungufu wa
mvua ha sa baada ya wananchi kugeuza makaazi katika milima ya Lingistone na
kusababisha uharibifu wa Mazingira amewataka wananchi hao kuondoka mara moja
katika milima hiyo
Mkoa
waRuvumaumekabiliwanaUharibifuwa Mazingira Kwananchi kuvamia vyanzo vya Maji na
kuvigeuza vya kilimo cha Mabondeni na Wenginekuchoma Moto ili kuwinda wanyama
wa dogo kama sungura.
0 comments:
Post a Comment