Home » » RC RUVUMA,AKABIDHI OFISI NA KUMWAGIZA RC MNDEME MAAGIZO MANZITO KUHUSU TANROAD RUVUMA.

RC RUVUMA,AKABIDHI OFISI NA KUMWAGIZA RC MNDEME MAAGIZO MANZITO KUHUSU TANROAD RUVUMA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399Aliekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA Dkt BILINITH SATANO MAHENGE ambaye sasa amekuwa mkuu wa mkoa wa DODOMA amemwagiza mkuu wa mkoa wa ruvuma CHRISTINA MNDEME kuhakikisha kuwa wakala wa barabara mkoa wa RUVUMA TANROAD wasiendeshe bomoa bomoa katika maeneo ya manispaa ya SONGEA kwa sababu wameshindwa kuendeleza barabara hizo na kama watafanya hivyo basi wahakikishe wanalipa pesa kwanza ndivyo wafanye zoezi hilo taarifa kamili hii hapa video yake.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa