Home » » VIDEO:CCM MKOA WA RUVUMA YATAMBA KUCHUKUA KATA ZOTE KATIKA UCHAGUZI.

VIDEO:CCM MKOA WA RUVUMA YATAMBA KUCHUKUA KATA ZOTE KATIKA UCHAGUZI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Chama cha mapinduzi ccm mkoa wa ruvuma kimepanga kushinda kata zote zinazoshiriki uchaguzi mwaka huu kwa zile zilizokumbwa na matatizo kama vifo na nk hayo yamebainishwa na katibu wa ccm mkoa wa ruvuma B.Amina imbo wakati akimweleza mkuu wa mkoa wa ruvuma b mndeme alipotembelea ofisini kwake.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa