Home » » Tume ya katiba yaendelea na ziara yake mkoani Ruvuma

Tume ya katiba yaendelea na ziara yake mkoani Ruvuma

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba akizuingumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Seed Farm Villa mjini Songea leo kuhusu ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba mpya. Kulia ni kiongozi wa timu ya Tume hiyo inayokusanya maoni mkoani Ruvuma Profesa Mwesiga Baregu.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa