Home » » WAANDISHI WAVUNJA MAHUSIONO NA POLICE SONGEA

WAANDISHI WAVUNJA MAHUSIONO NA POLICE SONGEA

Mwandishi wetu, Ruvuma Yetu
 
Chama cha waandishi wahabari mkoani Ruvuma kimesitisha mahusiano ya kihabari na jeshi la Police mpaka uchunguzi utakapo fanyika kubaini chanzo cha mwandishi wa habari wa Daudi Mwangosio anaye tuhumiwa kuuwawa na jeshi la police Mkoani Iringa
 
Mwewnyekiti wa chama cha wandiahi wa Habari Mkoa wa Ruvuma Andrew Kuchonjoma amesma hayo katika kikao cha Dharura kilicho kite kutoa Tamko la Wandishi wa Habari wa mkoa wa Ruvuma kuhusu kujitoa katika shuguli yoyote inayo husu Jeshi la Police dhidi ya Kupinga mauaji yaliyo mpata Daudi Mwangosi akiwa kazini.
 
Mwenyekiti Andrew Kuchochonjoma amesema Jeshi la Police imekuwa mazoea kutumia silaha za moto kwa Raia badala ya kufuata kanuni ya kulinda Raia na mali zao. lakini silaha ina tumika kinyume na kanuni hizo .amesema hivyo nikiwa mwenyekitiRPC  natangaza Rasimi kuvunja mahusiano na Jeshi la Police
 
 
Wandishi wa Habari kwa namnuna nyingine wameshangaa nguvu za chama chasiasa kuweza kuwa na malumbano na dola kuna nini hadi kukiuka sheria zilizo wekwa na Dola.
 
 
Wadau mbalimbali wa Habari Mkoani Ruvuma ambao hawakutaka majina yao yatajwe wamewaomba waandishi wa Habari kuthamini Roho zao kuliko kuhatarisha maisha yao .Wadau hao wamesema Vyama vya siasa kazi yake kubwa ni kuwaweka Raia na Waandishi wa Habari kuwa chambo ya kupandisha chaki ya vyama vyao huku raia na waandi wakiteketea

Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa