na Julius Konala, RuvumaMAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Manispaa ya Songea (SOUWASA) imetangaza kuwapo mgawo mkali wa maji kati ya Agosti na Novemba mwaka huu kutokana na upungufu wa maji katika vyanzo vya mtiririko vilivyopo milima ya Matogoro mjini hapa.Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Francis Kapongo, alibainisha hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake na akasema kuwa uzalishaji umepungua kutoka meta za ujazo 9,700 hadi kufikia 7,000 kwa siku.Alisema kutokana na takwimu za vipimo vya maji kwenye mito inatarajiwa maji ghafi yataendelea kupungua na huenda yakapungua zaidi ifikapo Septemba hadi Novemba na kukadiriwa maji hayo kupatikana kwa viwango vya meta za ujazo 5,400 kwa siku, ambayo ni sawa na asilimia 56 ya mahitaji halisi.''Hali hii imetokana na mvua...
UKISTAAJABU YA MUSSA....NI KWELI YAMETOKEA KIJANA AFUNGA NDOA NA MAMA YAKE MZAZI BAADA YA BABA YAKE KUFARIKI
Mke na Mume, Bi Condorada Ngonyani (70) na Bw. Joseph Mapunda, ambao ni Mama na Mwanawe, wakiwa nje ya nyumba ya Mganga, wakati walipofikishwa kwa suala hilo la Mama Mzazi na Mwanawe kufunga ndoa.************************************ Na Mwandishi Wetu, Namtumbo Ruvuma
MARA kadhaa kumekuwa kukijitokeza matukio mbalimbali ya kustaajabisha, kusikitisha na kutisha na mengine yakihisiwa kuwa ni imani za kishirikina, ambapo mengi ya matukio hayo ambayo hutokea si kwingine ni hapa hapa nchini kwetu, huwaacha watu hoi na maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Kwa mara nyingine tena tukio la kushangaza na kutoaminika kama ni kweli ambalo...
‘DOSARI ZA SENSA ZINATOKANA NA AHADI HEWA ZA SERIKALI’
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
...
MAZUNGUMZO TANZANIA, MALAWI YAKWAMA
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
...
MTOTO AFANYA MAPENZI NA MAMA YAKE KWA MIAKA 10, WENYEWE WAISHI KAMA MKE NA MUME
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
...
MWANASHERIA WA CCM ACHUKUA FOMU
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
...
WATAKIWA KULIPIA UPIMAJI ARDHI
Normal 0 false false false EN-AU X-NONE X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
...