Home » » PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA IDD KITAIFA MJINI SONGEA

PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA IDD KITAIFA MJINI SONGEA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kulia akimkaribisha shekhe mkuu wa tanzania mufti Issa Shaban Simba kushoto,wakati wa swala ya idd el fitri iliyofanyika katika msikiti wa masjidi Hudda mjini songea.

 Shekhe mkuu wa Tamnzania mufuti Issa Shaban Simba akiingia katika msikiti wa masjid Hudda wakati wa swala ya idd el fitri mjini songea ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.
 Shekh Issa Shaban Simba akitoka katika swala ya idd el fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.

 Imamu  wa msikiti wa masjid Hudda Sheke Shaban Mbaya akito mahubiri kwa waumini wa dini ya kiislamu wa wilaya ya songea wakati wa sikukuu ya idd el fitri ambayi kitaifa ilifanyika katika msikiti huo
 Shekhe mkuu wa Tanzania shekhe Issa Shaban Simba akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu wa mkoa wa Ruvuma  katika msikiti wa masjid Hudda manispaa ya songea wakati wa swala ya Idd el fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma
 Akina mama wa dini ya kiislamu wakisubiri kumuona kiongozi wa dini hiyo nchini mufti Issa Shaban Simba (hayupo pichani) kabla ya kuanza kwa swala ya Idd mjini songea.
 Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Songea wakiwa katika foleni wakisubiri kununua nyama ikiwa ni maandalizi ya ikukuu ya Idd el Fitri ambayo kitaifa ilifanyika wilayani Songea,

 Muuza nyama ambaye hakufahamika jina lake akimwagia utumbo maji ili usiharibike kama alivyonaswa na mjini songea
Wakzi mjini songea wakiangalia bidhaa zilizopangwa chini bila kujali afya za walaji wakati wakiwa katika maandalizi ya sikukuu ya Idd mjini humo.

Picha zote na Joyce Joliga
Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa