Home » » SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO KWA TAASISI ZA DINI

SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO KWA TAASISI ZA DINI

Adam Nindi, Songea  
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Emanuel John Nchimbi amesema Serekari ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano na Tasisi za Dini katika kuendeleza Elimu Nchini.
 
Dr Emanueli John Nchimbi ameyasema hayo wakati wa maafali ya chuo kuku cha Mawasiliano cha St, Joseph kilichopo manspaa ya Songea wakati akiwatunukia vyeti vya Stashahada wanafunzi 3 na Shahada watu 13
 
Waziri Nchimbi amesema Mkoa wa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa inayo tegemewa kwa kilimo hivyo chuo cha St, Joseph kuanzisha masomo ya kilimo ni moja ya kuinua uchumi wa mkoa wa Ruvuma
 
Mhashamu Asikofu Mkuu wa Jimbo la Songea Norobet Mtega amewataka wana chuo walio maliza kutumia elimu yao kwa vitendo pamoja na kufanya utafiti mbalimbali ili elimu hiyo iwasaidie watanzania endapo wata kaa mda mrefu elimu hiyo inaweza kuwatoka
 
Mkurugenzi wa Vyuo vikuu vilivyo chini ya DMI Duniani Anath Anath amemuhakikishia waziri kuwa stashahada na shahada walizo pata za unginia ni sahihi matokeo yake yataonekana kwa watanzania hata nidhamu kikazi walio nayo ni yahali ya juu
 
Wanafunzi walio hitimu mafunzo katika chuo hicho wameahidi kutumia vizuri kodi ya wananchi
 
Chuo kikuu cha St, Joseph kina jumula ya wanafunzi 676 wanafunzi wa kike 112 na wakiume 564,

Blogzamikoa

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa