Home » » KUNDI LA WOODVILLE ALLIANCE CHURCH LATOA MSAADA SONGEA

KUNDI LA WOODVILLE ALLIANCE CHURCH LATOA MSAADA SONGEA



 wakifurahi na wenyeji wao katika ngoma ya lizombe
 kundi la woodville alliance church toka marekani wakiwa  katika picha ya pamoja na wenyeji wao
   Wake kwa waume walikuwa kazini
  watoto wakifurahi mabegi ya shule  ..
  tukishiriki katika ujenzi wa nyumba za wasiojiweza
  Karunda toka Mwangaza jitegemee USA pamoja na woodvile alliance church wakiwafariji watoto yatima kwa misaada mbali mbali

Matt  Hesselgrave mkandarasi akimfariji mama Leodard ambaye ni mlemavu    baada ya kujengewa nyumba ya kisasa
      na wataalam hao wa woodvile church kwa kushirikiana na Mwangaza jitegemee USA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa