Home » » SWALA YA IDD EL FITR KUFANYIKA RUVUMA, RUVUMA YETU INAKULETEA MATUKIO YOTE YA SWALA HIYO

SWALA YA IDD EL FITR KUFANYIKA RUVUMA, RUVUMA YETU INAKULETEA MATUKIO YOTE YA SWALA HIYO


na Veronica Kazimoto
SWALA ya Eid el Fitr na Baraza la Eid kitaifa mwaka huu vitafanyika mkoani Ruvuma katika Masjid L-huda Msikiti wa BAKWATA uliopo katika Halmashauri ya Songea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Suleiman Lolila, Swala hiyo itafanyika leo.
Taarifa hiyo imefafanua kuwa Baraza la Eid litafanyika kuanzia saa kumi alasiri na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
Chanzo: Tanzania Daima

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Ruvuma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa